Msaidizi wa Raisi masuala ya Lishe ni MGONJWA

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
lori.jpg

Raisi kamteua huyu mtu kuwa msaidizi wake kwenye masuala ya lishe.....lakini huyu mtu ni mgonjwa na nina wasiwasi lishe ipi atakayokwenda kumshauri raisi......
 
nifafanue ninia rifu.....kwani weye humuoni mshauriw a lishe kuwa ni mgonjwa...
 
Khaaa mkuu Yo Yo fafanua basi!! Kwani mbona anaonekana fiti tu? Kwani alishadondoka jukwaani au akitoa hotuba? Maana anaonekana ni msomi ni lazima atakuwa ameshafanya presentations mahali? Anatokea TNFC au ni SUA? Du watu bana.
 
ana kula zaidi ya mwili unachohitaji, ndio maana mwili umeamua kuweka akiba ya ziada anayokula. Angalia mafuta kwenye mashavu na shingo, nadhani mi-mafuta mingine itakuwa kwenye masaburi, tumbo, moyo nk.

Hivi ukienda kuomba ushauri kwa mtu jinsi ya kulipa madeni na kabla ajaanza kukufundisha ukaona anajificha nyuma ya mlango kukwepa wadeni wake utaendelea kumsikiliza mtu huyu?
Huyu mshauri wa lishe anatoa ushauri wote bila kubakiza wa kwake au hajui lishe ni nini.
 
tawiire arifu......
 
Back
Top Bottom