Msaidizi wa ndani anahitajika

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
A%20S%20465.gif
Wana JF

Ndugu yangu anahitaji msichana au mvulana wa kusaidia kazi za ndani maeneo ya Dar es Salaam. Mshahara ni maelewano.
SIFA

  1. Awe muaminifu
  2. Awe anapenda watoto na anafahamu kuwalea watoto wa kuanzia chini ya mwaka mmoja
  3. Mwenye nidhamu, Upendo kwa watoto na familia
  4. Msafi wa mwili na mavazi
  5. Anayejua kupika na kukarimu wageni
  6. Mchapa kazi, anayezingatia sana usafi wa mazingira
  7. Asiwe muhuni
  8. Mwenye kuheshimu na kufuata maadili ya dini na ya jamii kwa ujumla.
  9. Awe na mtu wa kumdhamini
  10. Asiwe na magonjwa sugu au ya kuambukiza (mf Kifua kikuu, kifafa) au matatizo ya "kiswahili" (majini etc)
Kama kuna mtu mwenye kufahamu binti anayetafuta/anayefaa kwa kazi hiyo naomba tuwasiliane naye kupitia hapa JF au kwa email hasnatiyaM2010@gmail.com
-
Endapo atapatikana mwenye kuhitaji kazi hiyo basi, uhakiki wa asili na wasifu wak eutafanyika kabla hajaanza kazi.
- Familia inayohitaji msaidizi ni ya kikristo na inayothamini sana d​
 
Mtumie PM Zawadi Ngoda (pamoja na Broken English, ana uwezo wa kulonga lugha 6 ikiwemo Kikwere na Kiarabu), au kama unatafuta mkata michongoma wasiliana na Haki (ana PhD ya Sharia Law na ni nguli wa masuala yote ya Sunna na namna ya kutawaza vyema kabla ya kuswali)
 
A%20S%20465.gif
Wana JF

Ndugu yangu anahitaji msichana au mvulana wa kusaidia kazi za ndani maeneo ya Dar es Salaam. Mshahara ni maelewano.
SIFA

  1. Awe muaminifu
  2. Awe anapenda watoto na anafahamu kuwalea watoto wa kuanzia chini ya mwaka mmoja
  3. Mwenye nidhamu, Upendo kwa watoto na familia
  4. Msafi wa mwili na mavazi
  5. Anayejua kupika na kukarimu wageni
  6. Mchapa kazi, anayezingatia sana usafi wa mazingira
  7. Asiwe muhuni
  8. Mwenye kuheshimu na kufuata maadili ya dini na ya jamii kwa ujumla.
  9. Awe na mtu wa kumdhamini
  10. Asiwe na magonjwa sugu au ya kuambukiza (mf Kifua kikuu, kifafa) au matatizo ya "kiswahili" (majini etc)
Kama kuna mtu mwenye kufahamu binti anayetafuta/anayefaa kwa kazi hiyo naomba tuwasiliane naye kupitia hapa JF au kwa email hasnatiyaM2010@gmail.com
-
Endapo atapatikana mwenye kuhitaji kazi hiyo basi, uhakiki wa asili na wasifu wak eutafanyika kabla hajaanza kazi.
- Familia inayohitaji msaidizi ni ya kikristo na inayothamini sana d​

jamani unaitaji kweli???weeewee mbona irushe THREAD YA MAPENZI UACHE NA NAMBA ZAKO UNGEKUWA UNACHEKA NAE NYUMBAN
 
Asiwe na magonjwa sugu au ya kuambukiza (mf Kifua kikuu, kifafa) au matatizo ya "kiswahili" (majini etc)

SASA UTAJUAJE HUYU ANA MAJINI AMA HANA AMA MNA VIPIMO MAJUMBAN WAPENDWA??AM UKIMPATA UTAMPELEKA KWANZA UFUFO NA UZIMA KAWE UANGALIE YATALIPUKA AMA LAH...HAYA KARIBU
 
A%20S%20465.gif
Wana JF

Ndugu yangu anahitaji msichana au mvulana wa kusaidia kazi za ndani maeneo ya Dar es Salaam. Mshahara ni maelewano.
SIFA

  1. Awe muaminifu
  2. Awe anapenda watoto na anafahamu kuwalea watoto wa kuanzia chini ya mwaka mmoja
  3. Mwenye nidhamu, Upendo kwa watoto na familia
  4. Msafi wa mwili na mavazi
  5. Anayejua kupika na kukarimu wageni
  6. Mchapa kazi, anayezingatia sana usafi wa mazingira
  7. Asiwe muhuni
  8. Mwenye kuheshimu na kufuata maadili ya dini na ya jamii kwa ujumla.
  9. Awe na mtu wa kumdhamini
  10. Asiwe na magonjwa sugu au ya kuambukiza (mf Kifua kikuu, kifafa) au matatizo ya "kiswahili" (majini etc)

Kama kuna mtu mwenye kufahamu binti anayetafuta/anayefaa kwa kazi hiyo naomba tuwasiliane naye kupitia hapa JF au kwa email hasnatiyaM2010@gmail.com
-
Endapo atapatikana mwenye kuhitaji kazi hiyo basi, uhakiki wa asili na wasifu wak eutafanyika kabla hajaanza kazi.
- Familia inayohitaji msaidizi ni ya kikristo na inayothamini sana d​

Kwa mustakabali huu ni heri ungemalizia kabisa kuwa UNAMTAFUTA BINTI. Hakuna kidume kinachoweza kufanya hayo uliyoorodhesha hapo. Ukimpata ujue una mabinti wazuri, jiandae kulea wajukuu~:A S 13::A S 13::A S 13:
 
mimi natafuta kazi ya u-housegirl so plz tuwasiliane vigezo vyote vilivyotajwa hapo juu ninavyo,pia nin vingine ambavyo hata hujavitaja kama vile
nina kipaji cha kuimba nyimbo za watoo kwa ajili ya kumbembeleza mtoto akilia

nina uwezo wa kuamka mapema sana saa 11 asubuhi na kuchelewa kulala yani saa 7 usiku

pia nina uwezo wa kupika vyakula vya asili vya makabila yote

mwisho kabisa mimi ni mcha mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom