Msaidizi wa Nape awachana CHADEMA: Wabunge wa Upinzani ni Punguani, Viherehere

Mimi sijaona cha maana hapo,eti jk kawaonea huruma wapinzani kwenda bungeni.huyu jamaa bange zitakuwa zimemchanganya.kweli nimeamini magamba hata umpeleke new york,atabakia kuwa **** tu.

This is shameful and disgusting. Konda kuwa katibu mwenezi, Mungu Wangu tumekwisha alafu mwenye kiti ni nani?
Hawa walichaguliwa na nani?
 
Kibajaji Lusinde mwingine huyu hapa.... Hivi huyu ndiye kiongozi wa CCM DMV? Kha. Aibu wabeba boxi vijiweni wamejikusanya na kuanza kuwatapeli watanzania.....huyu mtu domo bakuli anavuta bangi nini? hawezi hata kuongea.

-CCM haina wapinzani
-Wabunge wa Upinzani Punguwani
-CCM imewapa upinzani majimbo ya Arusha ili tu kuwafuta machozi nk.
-JK ni mtu mwenye busara sana. Amewahurumia wapinzani waingie bungeni. Bila JK wasingeona Bunge
-Mbunge wa Iringa anaacha kuwaongelea wana Iringa, anafika kung'angania kesi ya Kanga
-Lada (Radar) ilikuwepo tangu miaka hiyo. Lada ilikuwa na makosa kidogo
-Wapinzani fungeni kanga mkacheze ngoma bungeni
-Lasaba tunajua kusoma na kuandika. Tunaweza kuwa viongozi
-CHADEMA hawana sera, kazi zao ni viherehere
-Dr. Slaa ni mpora wake za watu tu.
-Mimi nalipa tax ya Obama, nyingine nataka nilipe nyumbani
-Kufika tu marekani na kuishi "Ni digrii" Kufanya mambo yako tu, "ni masters"
-Mtanzania hata umpleke urusi, habadiliki. CCM tu ndo itawasaidia
-Mwenzangu kutoka uzuri mimba. Nawaonya wapinzani wasitoe matusi. watoe sera.
-August 23, mvua DC. Mambo mazito ufunguzi wa CCM DC. Wanamuziki balaa, raha mwanangu. Tunainua vipaji vya wasanii na viongozi kutoka Uongozi wa Juu pamoja na Diamond. Tunainua Vipaji ndio maana tunaanzisha CCM DC.
-CHADOMO, CHEFUA (Cuf) hawawezi haya yote.
-Wanachama wa CCM Hoyee ndio wanaokuja kula raha. Njoo tu na kadi
-Chadomo wasijaribu kuja hapa kuvuruga laha zetu.
-CCM ina wanachama 300

Sikutaka kumuangalia huyo mja-m-zito hapo. hala hala atajifungua siku si zake maake marekani wameshahalalisha ukameron zamani. nimekukumbuka ule wimbo ---(jina lake) ha ha ameolewa - wapi ha ha huko ulaya!!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kukaa Marekani lakini hana tofauti yoyote na waimba taarabu wa temeke mikoroshini.
Kumbe kubeba mabox nako kuna haribu akili za baadhi ya watu.
Mkuu Mwita Maranya...Hapo kwa red...Afadhari ungeishia hapo kwa waimba taarabu ila kuongezea hilo lingine ni kama hujatutendea haki vile!

 
msemakweli umenikonga moyo sana hata mimi nimemuangalia huyu mwenezi kwanza hajui anachosema ni kanyaboya fulani na inaonekana kule huyu bwana ni kibaka fulani asiyekuwa na a wala b na watu kama hawa ndio ccm kazi kweli kweli.
 
msemakweli umenikonga moyo sana hata mimi nimemuangalia huyu mwenezi kwanza hajui anachosema ni kanyaboya fulani na inaonekana kule huyu bwana ni kibaka fulani asiyekuwa na a wala b na watu kama hawa ndio ccm kazi kweli kweli.

yaani hawa ndio viongozi wetu wa CCM DC? alafu bila aibu, viongozi watapanda ndege kuja hapo DC kufungua Tawi.
 
Nchi hii ina maajabu..
Yaan hawa ndio wameonekana wana'shine' huko Washington kiasi cha kupewa hii dhamana jamani?..
CCM tunaenda wapi??..
 
Ukweli husemwa:

Better to remain silent and be thought a fool than speak and remove all doubt.
Bora kujua hujui kuliko kufikilia unajua kumbe hujui.

Hivi kweli huyu ndiye katibu mwenezi wa CCM? Ukiangalia hata body language yake, inatoa maswali mengi bila majibu na cha kusikitisha zaidi, hata anayemuhoji anashindwa kuelewa huyu jamaa anachokiongea nini.

I'm sorry for CCM in acting like "dodoki".

By having people like him as Leader, no wonder CHADEMA looks like smart and party in power.

Ndo chama cha nape hii mkuu
 
Watu ambao hawajasoma kazi kweli kweli lina ropoka tuuuuu...... Next time avae msuli afiche busha naona linaanza taratibu
 
huyu jmaa kilazi ile mbaya kama ndio kuwa nje ya nchi unakuwa mjinga kiasi kama hiki haina haja ya kwenda nje ya nchi
 
huyu jmaa anazidiwa akili na mtoto wa chekechea maana anajua hata a,e,i,o,u kama masters zinapatina kwa style hii basi silaumu sna hata droctor ya jk ndio zao ccm hata ukihudhuria hafla ukipata ubwabwa digrii unapata jamani hii ni aibu sana
 
Nimecheka sana siku ya leo..hawa jamaa ni viburudisho toshaa....wafunguo na comedy za SIASA huko wawewanaturushia bongo zitalipa.
 
Msameheni, unajua ukila bagaa tena....,, maskini huyu ameongea ili Ndg yetu Nape amskie afungue njia...., sielewi ccm 2015 wanaichukuliaje, lakini Nape kasha soma upepo..,
 
Back
Top Bottom