Msaidieni mke wangu jamani, anateseka.

MsakaGamba

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
392
141
Great thinkers.
Najua kuna watu hawajali matatizo ya wenzao au hata kufika hatua ya kutoa maneno au kauli mbaya zisizo na tija nawaomba katika hili mnisaidie ndugu zangu.

Mke wangu ana tatizo la kutofika kileleni, tunaweza kufanya nikamuandaa muda mrefu na hata wakati wa kufanya nikafanya jitihada na utundu wote, nikaenda hata mishindo mitatu au minne lakini yeye hafiki kileleni.

Huwa anasikia ile raha ya kukaribia kufika lakini ghafla hupotea na huishiwa hamu ya kuendelea kufanya kabisa na mara zote huishia kulia tu kwa uchungu. Namuonea huruma sana mke wangu jamani.
Hili tatizo sasa hivi lina karibia miaka 2.
Naombeni msaada.
 
Nisaidieni jamani. Huyu mtu alikuwa anafika kileleni kama kawaida mwanzoni.
 
Pole ni tatizo la kisaikolojia,mm nakushauri umpeleke kwa Psychologist.Pili jitahidi uwe unamuandaa kuanzia kwenye misosi na hata kumpuzisha kazi na kumtoa out siku ya mechi.
 
Great thinkers.
Najua kuna watu hawajali matatizo ya wenzao au hata kufika hatua ya kutoa maneno au kauli mbaya zisizo na tija nawaomba katika hili mnisaidie ndugu zangu.

Mke wangu ana tatizo la kutofika kileleni, tunaweza kufanya nikamuandaa muda mrefu na hata wakati wa kufanya nikafanya jitihada na utundu wote, nikaenda hata mishindo mitatu au minne lakini yeye hafiki kileleni.

Huwa anasikia ile raha ya kukaribia kufika lakini ghafla hupotea na huishiwa hamu ya kuendelea kufanya kabisa na mara zote huishia kulia tu kwa uchungu. Namuonea huruma sana mke wangu jamani.
Hili tatizo sasa hivi lina karibia miaka 2.
Naombeni msaada.

Marital rape. Remember, any woman who claims that she has been raped by her spouse, has not been properly bedded, inter-alia, when a woman submits to sexual acts out of fear or coercion, it is rape..
 
Jamani kama wengine hamna la kuchangia kaeni kimya, mwenzenu anataka msaada, wengine mwaleta utani, ..........
 
Marital rape. Remember, any woman who claims that she has been raped by her spouse, has not been properly bedded, inter-alia, when a woman submits to sexual acts out of fear or coercion, it is rape..

Woow, you can actually rape your wife. Thanks.
 
Kwa hiyo wewe unachotaka Mke wako asaidiwe anateseka! Hamna shida kuna mtu anaitwa Saigon mtafute atakusaidia tatizo la mke wako
 
Hilo tatizo sio la mkeo peke yako... wanawake majority wana hilo taizo la kushindwa
kufika kileleni.... tatizo tu tokana na maelezo yako naona kua wewe unataka saana
mkeo afike kileleni kuliko hata yeye mwenyewe... Mara nyingi kufika kileleni kwa mwanamke
iko more psychological kuliko hata utundu wa mwanaume... Hio ni moja ya dalili kua mkeo
anafanya ilo tendo kama wajibu, lakini sio kwamba anapenda... For yule mwanamke anaependa
atajaribu hata kwa vitendo kukuonesha ni namna gani ufanye/umchezee/umguse ili afike...

Na hili tatizo the best way kulitatua ni kuongea nae yeye mwenyewe...
 
Huyu mke wako anasaikological problem,hii inatokana pale mtu unapofanyiwa kitu ambacho hukua unakitaka au hukutegemea kingetokea na mara nyingi kitu chenyewe ni kibaya. Hebu jaribu kufikiria mke wako hajawahi kukufumania au kukuta na mwanamke mwingine katika mazingira ya utata?

Au kuhisi? Ningeweza kusema hakupendi lakini umesema mwanzoni mambo yalikua fresh lakini akaja badilika,Kwa upande wa pili wa shilingi inawezekana akawa amepata mwanaume mwingine ambaye ndio chaguo lake na ndiye anayempenda na anamtosheleza kwa kila kitu, au mpenzi wa zamani ambaye labda walihaidiana kuoana na labda huyo mwanaume alikua nje labda masomoni akarudi akakuta wewe umeshambeba mchumba wake kama mwewe.

Kwa vyovyote mwanamke huyo akimkumbuka huyo mme wake wa zamani especially kama amekutana nae na kama alikua anampenda sana lazima akose hamu na wewe kabisa na mara nyingi kwa wanawake huzuni, simanzi na masikitiko yakizidi machozi yanatiririka hiyo kuna. factors nyingi zinazoweza kumfanya mwanamke awe hivyo.

Na dawa yake labda ni kuhama mkoa ili akae mbali na huyo mtu anayempenda kuliko wewe ambayo sio rahisi kuhama manake sometime utakuta umeshajiimarisha mkoa fulani kiuchumi au kikazi au kibiashara kwa kweli ni mazingira magumu.

Pole sana
 
Mkuu pole, ongea na the wife wako kwa upole mkiwa nje ya nyumba yenu.... out maana yake, muulize kwa upole ni namna gani anajisikia wakati wa mechi na kipi kifanyike ili ainjoi na tendo, nawe jaribu ku-reflect siku za nyuma ulikuwa unafanyaje mpaka akawa anafika kileleni. Shauri hata kuwaona watu wa saikolojia ya mambo hayo. Awe anapata muda wa kupumzika pia kama ni mfanya kazi.
 
Yes, pengine ana jamaa aliyekuwa anampenda mno na alikubali kuolewa nawe kwa hofu ya kutoswa na huyo jamaa wa kwanza. hebu tuambie ulimuoa akiwa na umri gani, kama alikuwa anakaribia 30 au zaidi basi aliolewa ili bora aitwe mke wa mtu!
 
Great thinkers.
Najua kuna watu hawajali matatizo ya wenzao au hata kufika hatua ya kutoa maneno au kauli mbaya zisizo na tija nawaomba katika hili mnisaidie ndugu zangu.

Mke wangu ana tatizo la kutofika kileleni, tunaweza kufanya nikamuandaa muda mrefu na hata wakati wa kufanya nikafanya jitihada na utundu wote, nikaenda hata mishindo mitatu au minne lakini yeye hafiki kileleni.

Huwa anasikia ile raha ya kukaribia kufika lakini ghafla hupotea na huishiwa hamu ya kuendelea kufanya kabisa na mara zote huishia kulia tu kwa uchungu. Namuonea huruma sana mke wangu jamani.
Hili tatizo sasa hivi lina karibia miaka 2.
Naombeni msaada.

Ana umri gani?Mara nyingi wanawake huwa hawafiki kileleni kutokana sababu zifuatazo;
1. ......alianza sex kabla ya ndoa huku akiwa na dhana kichwani kuwa afanyacho ni dhambi........hivyo hufanya huku akiwaza kuwa anatenda dhambi na ni vigumu kufika kileleni.

2. Umri...kuna umri ambao wasichana huwa wanasex tu bila kujua nini wanafanya ili tu kuwaridhisha wapenzi wao........

3. Mazoea....hayo mazoea ya no.2 huendelea hata wanapoanza kujua kumbe kuna kufika kileleni kwa kusikia kwa wasichana wenzao,hushindwa kujadili na wapenzi wao (labda aibu au mwanaume hayuko friendly na haongelei jambo hilo mradi yeye kafika) hivyo kuishia kucheat orgasm.......

4. Pengine aliwahi kufanyiwa vitu vibaya kama kubakwa utotoni au something like that......hivyo kumbukumbu zinamrudia
5. Au x-bf wake alikuwa anamfanyia rough sex na hamjali kama kafika au la........naye akajenga mazoea au the way you do it....it remind her of him.

6. Labda kuna mambo unamkosea yeye anaweka moyoni pengine anaogopa kukuuliza,au anakwambia kasamehe kumbe bado anayo moyoni....na anaingia nayo kitandani.
7. Pengine hana hisia na wewe labda hakukupenda,au kuna kinachomkera kama harufu ya jasho lako n.k

Suluhisho

1. Tafuta outing mwende sehemu iliyotulia kabisa ambayo haitakuwa na interraction yoyote......hakikisheni nyumbani mmeacha salama na hawatawasumbua huko mliko......ili mawazo yasiwe yarudi hme

2. Kuwa mpole,mkarimu,mpe treatment unazojua anazipenda,ale apendacho...ila asishibe saana...usiache kumpa sifa kemkem(kumjenga ajiamini)

3. Muwe fresh ie.wasafi angle zote...tena mnaonukia manukato mpendayo
4. Vaa apendavyo uvae mkiwa wawili.......ongeleeni mambo positive tu......tena ya kimapenzi....."mengine najua wajua"

NB:USIMWAMBIE UNAMTOA ILI UKAMFANYE AFIKE KILELENI.........asijue lengo ni nini vinginevyo hutafanikiwa.
 
hilo sio tatizo lake peke yake,i admit na mimi nilikuwa sifiki huko,ila nikaja kungundua tatizo lilikuwa nini,ila kwa sasa raha mustarehe.jaribu kuujua mwili wake huwa ana enjoy sehemu gani. na jee hana kitu chochote kinachomsumbua?jaribu,kubadilisha mazingira pia.kabla ya tendo,jaribu kumchokoza chokoza kimahaba umuweke katika good mood,isije ikawa ana mambo mengi ya nyumba{kazi za nyumbani}kwa hiyo mambo hayo,hayaweki kipaombele tena
 
nimewahi kusikia mabinti kama wawili kuwa ukifunga uzazi kwa njia ya kijiti huwa hawasikii hamu wala raha ktk tendo husika, Ningependa wamama wa humu waliotumia hii njia waeleze kama lina ukweli.
 
Back
Top Bottom