Msafara wa Siyoi na wapambe wa CCM kuchukua fomu wazomewa njia nzima

Wanajamii ule msafara wa ccm kumsindikiza Siyoi kuchukua fomu umejikuta katika aibu kubwa baada ya kujikuta ukizomewa njia nzima na wakazi wa maeneo walipopita kwa kwenda na kurudi huku wakazi hao wakionyesha alama ya vidole viwili kama ishara ya kuonyesha kwamba wao mapenzi yao yako kwa chadema.
Saurce: Wapo Radio.
Naomba kuwasilisha.

waliokuwa wanazomea wana kadi za kupiga kura?
 
safi sana na bado tutazomea mpaka kwenye kampeni zao wito kwa wakazi wa arumeru tuchane tshirt na khanga zao hadharani na na jungu yao ya pilau tumwage, sasa tuseme basi ODDLY ENOUGH
 
Ni wakati wa Arusha kuthibitisha wao ni watu makini kwa kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya kizazi chao cha sasa na kutoa onyo kwa wote wanaodhani fedha inaweza kununua nguvu ya umma.
 
Wala hatubishani kwa jambo lenye ushahidi. Taarifa imetolewa na chombo cha habari kilicho hudhria kwa nia ya kutuhabarisha ambao htukuwepo, na saurce yenyewe nimetoa. Vilevile baadhi ya wachangia mada wamekuwepo kwenye tukio. Sasa wewe unaficha haibu ya nini? Sema umekula ruzuku uandamane lakini imekutokea puani kwa kuzomewa. Habari ndo hiyo!!!

ivi upo arusha kamanda? Kama ndio iyo link ya wapo haipatikani hapa.acha kutudanganya,ulijua members must ask u source ati unabwatuka.mi nlikuwa ktk msafara na ccm wanakubalika mbaya.
 
ivi upo arusha kamanda? Kama ndio iyo link ya wapo haipatikani hapa.acha kutudanganya,ulijua members must ask u source ati unabwatuka.mi nlikuwa ktk msafara na ccm wanakubalika mbaya.
Nyie si ndo zenu mkiletewa source mnaruka viunzi kuna mwenzako asubuhi aliletewa hadi link akaikataa.
 
Hili litakuwa ni fundisho! kuchukua form sio lazima maandamano. Hali ikiwa hivyo basi naona Magamba mambo si shwari!
tumewazoea huwa mnapenda kujipa matumaini hata msibani,azomewe asizomewe ccm itashinda,tunajua chadema huwa mnaadaa wahuni kuzomea watu na kwa kuwa chadema ni chama cha wahuni nazan mnaona bonge ya deal,mtatujua kwenye box
 
Wahuni unawajua wewe?
Jaribu kuchangia hoja kwa manufaa na si kuleta unazi humu.
 
Hilo jimbo litakuwa fundisho kwa sisiem!

Tusubirini tutaona!
Kama uchaguzi utakuwa free and fair CCM will never ever forget this by election
hakuna uchaguzi mdogo utakaowagharimu kama huu na hakuna uchaguzi watakaopata percentage ndogo kama huu.
 
Back
Top Bottom