Msafara wa Pinda wazua jambo Iringa

magari zaidi ya 57 yakishiriki katika msafara huo na barabara kufungwa kwa zaidi ya saa tano kwa ajili ya kusubiri msafara wake kupita.

Wewe umeamka asubuhi kwenda kutafuta riziki ya wanao - halafu barabara inafungwa 5 hours or more - kisa - barabara inafunguliwa - its high time tuache mambo ya kupotezeana muda - kwani kufungua barabara inamhusu kila mtu?? na kama kuna wagonjwa wanaenda hospitali je?? Urasimu na time wasters ndio shida kubwa ya nchi yetu - thinking capacity yetu ni very low - mie nashangaa ndege hadi ya kukodi - halafu wanasema hakuna hela wananchi ndio wabane matumizi wakati viongozi na matajiri wanatanua - its not fair - watoto shule hawana madeski halafu kiongozi anakodisha ndege ya ziada toka kenya - this is mismanagement of public funds - sijui kama tutapona hii nchi - bora tuwekeze mbinguni tunakoenda soon -
 
Matumizi ya Magari yote haya nini?? Mbona yeye alifuta semina na washa wakati yeye anapoteza pesa kwa mlango wa nyuma
 
Hakuna mwenye uchungu na fedha za uma. Kila unapopatikana mwanya ni kuziuma kama sio kuzifakamia. Nakumbuka ilikuwa hivyo hata ufunguzi wa daraja pale ruvu. Hali ngumu ya uchumi ni mvinyo ukiutwika hutaona, hautauliza sababu jibu unalo .........
 
Mi nawashangaa sana waandishi wetu....Is this the first time Mizengo Pinda is travelling??
From previous safaris mbona sijawahi kusikia wakielezea habari kama hizi?? How is Iringa so special? au ndo mara ya kwanza kuwa na msafara wa magari kibao??
 
Back
Top Bottom