Msafara wa Papa wakamatwa na traffic

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Cku 1 Papa Benedict 16 alikua anataka kwenda kufanya shopping. Akamchukua dereva wake lakini akamwambia niache niendeshe mm! Kufika njiani trafic akawacmamisha kuangalia vzr ndani ya gari yule trafic akakimbia kumwita mku wake.Mkuu nae kuangalia ndani ya gari akakimbia,yule trafic ikabd amuulze Mkuu wake mbona unakmbia?mkuu akajibu km papa anamuendesha m2 bac yule m2 km co Yesu bac ni Mungu.
 
Back
Top Bottom