Msafara wa Mh. Samwel Sitta wapata ajari mkoani Kagera

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
JANA tarehe 29/08/2012 Katika ziara Mheshimiwa Samwel Sitta Wazira wa Jumuiya ya Afrika Mashari Kutoka Wilaya ya Karagwe kuelekea Wilaya ya Kyerwa kulitokea ajali ya garia la Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Uganda aliyekuja kuungana na Mhe. Sitta katika ukaguzi wa Miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ajali hiyo ilitokea muda wa saa 5:15 asubuhi katika eneo la Lukole katika Kata ya Ihanda baada ya kuyumba na kuacha njia na kuangukia upande mmoja.

Katika ajali hiyo hakuna mtu yeyote aliyeumia wote Ofisa wa Ubalozi na Dereva wake walitoka salama jambo ambalo halikuidhuru ziara ya Mhe. Sitta na kuendelea mpaka Wilayani Kyerwa Murongo
attachment.php

 

Attachments

  • sitaaaaaaaaaaaa.jpg
    sitaaaaaaaaaaaa.jpg
    56.2 KB · Views: 824
laana ya kukitukana chama cha ukombozi mpya wa taifa letu..wahaya muulizeni RICHMOND/DOWANS aliizikia makaburi gani?na ana uhakika ilifariki?au aliizika na uhai wake..
 
Hiyo scud ilimlenga Mr.SIX lakini akakwepa!! Next time inaweza kupiga BULL!!! Watamalizana hawa magamba.
 
pole sana waliopa a ajali ,karibu kyerwa. Uende murongo na isingiro uone wahamiaji wanavyotesa chini ya kivuli cha ccm
 
wanakwenda ziara ya kikazi,wanaongelea siasa,na hiyo yote wanatumia kodi zetu wafanya kazi.wao kodi waliisha jisamehe.Nchi hiiCDM ikichukua madaraka ni lazima Viongozi waanze kulipa kodi ili iwe mfano kwa raia wote wa nchi hii,kuonyesha umuhimu wa kulipa kodi.
 
Sitta nae anakuwa na msafara? Wana misuse resources hawa watu mweh!
 
laana ya kukitukana chama cha ukombozi mpya wa taifa letu..wahaya muulizeni RICHMOND/DOWANS aliizikia makaburi gani?na ana uhakika ilifariki?au aliizika na uhai wake..

Mbona Vita bado? hukumbuki Zitto alimbana Waziri Muongo kuhusu Symbion hao ndio Dowans yaani wanarithishana toka Richmond, na Sitta naye ndiye anayewafukua makaburini na kukuta hawajafa
 
Pole zao maana ajari ni sehemu ya maisha kwa watanzania tumuombee aendelee kutetea wanyonge ni mzalendo ndani ya magamba
 
Back
Top Bottom