Msafara wa makamu wa rais dk gharib bilal wapata ajari dar.

BOKO HAARAM

Member
Oct 18, 2011
32
6
Taarifa zinasema msafara wa makamu wa raisi dk gharib bilal,umepata ajari jijini dar leo baada ya gari iliyo kuwa ikiendeshwa na mama mmoja aliye kuwa akinywa maji ya dafu(nazi changa) kuuingilia ghafla na kumgöga trafik aliye kuwa anaendesha piki piki iliyo kuwa inaongoza msafara huo,mpaka muda napost taarifa hii trafik amepelekwa hospitali kupata matibabu na huyo mama aliye sababisha ajari yupo mbaroni pale kituo cha police salenda.
 
ajari = ajali
 
kuna mchunga ngo'mbe mmoja pale bagamoyo aliingilia msafara wa jk alipata kipigo mpaka akafia muhimbili sijui kitakachomfika huyu mama.
 
Wamekufa wangapi? Wangepungua kidogo maana sijawahi kuona serikali yenye makamu watatu wa rais na mawaziri waziri wakuu kibao
 
Udereva wetu wa kibishoo siku hizi! Mtu unakunywa maji ya dafu huku unaendesha kweli utakuwa makini? Leo ni Makamu siku nyengine angekuwa ni dereva mwengine au mtu anavuka barabara.

Wengine utaona wanaandika message kwenye simu huku wanaendesha, nimeshaiona hiyo kabisa barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
 
Back
Top Bottom