msada waku-install window 7 professional!

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
jamani mwenye uelewa anipe maelezo nataka ku instal window mpya lkn pia nataka in the process niamishe vi2 vyangu toka local disc moja kwenda nyingine!
 
local disk c:/ ndo ya kukupa hofu plus all things in the libraries/ desktop/ downloads folder. alafu ukifanya installation mpya uchague (disk 0) format only usiguse partition zingine
 
mwana funguka hapo!kwa hiyo hiyo yakunipa hofu ni copy na ku-paste local disc d au?kama ni hivyo nakisha install window na copy na ku-paste kwenye local disc c au?
 
ok, ngoja twende taratibu.
windows ina install program zake kwa partition moja ya hard disk ambayo sana sana ni C:/ (tofauti kama labda unatumia mfumo tofuti kulabel hard disk zako)
unavyoweka a new installation, inakuja inapachika mle juu ya windows ya zamani. kama huformat, hamna kitakachobadilika ila ukiformat, kila kitu kwa C:/ kinapotea so kabla hujaformat hiyo local disc c inabidi uhamishe vitu kwa partition tofauti (D:/ E:/..)
 
yah but kwa win7 ukienda kwenye windows old utapata vitu vyako vyote vilivyopo kwenye C: usiwe na shaka mkuu
 
windows old inatoka pindi una upgrade windows iliyo chini ya 7 kama vile vista, xp na 2000 ila kama unatumia windows 2008 au 7, folder ya windows old haitakuwepoo
 
Back
Top Bottom