Msaadaa plz wa utata huu !

Mpigamsuli

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,885
575
Wana jf swali langu ni kwamba ivi katika historia ya vyuo vikuu tz kuna mwanafunz alipata gpa ya zaid ya 4.8 !
 
Tumaini, sauti, Ruco, nyerere memorial, cbe, ifm wanapata hadi 5.0

Hapa umeonyesha dharau ndugu yangu.Kama mwanafunzi anastahili kupata hiyo GPA kwa nini asipewe? Ninyi ndo bado mnafikiri chuo ni UDSM tu na mawazo ya ukale ya kukamatana bila sababu.Ila hongera
 
mzumbe nao hawaban gpa wanabana sana mwanafunzi awe bize pia competition among student ipo juu sana hata kufanya output yao iwe nzuri kuna dada kama sikosei kwa sasa yupo pale Udom anafundisha alipataga gpa 4.9 so inawezekana.
 
Hapa umeonyesha dharau ndugu yangu.Kama mwanafunzi anastahili kupata hiyo GPA kwa nini asipewe? Ninyi ndo bado mnafikiri chuo ni UDSM tu na mawazo ya ukale ya kukamatana bila sababu.Ila hongera
mnapewa mark up nyingiii hadi mnageuka kuwa wakichina, GPA zenu zimejaa mark up test ndyo maana mnapata 5.0,elimu yenu ipo kibiashara zaidi
 
4.9 mzumbe university bas uyo jamaa nikipaji maalumu wa ukweli kama f6 hakuwa na i.3
 
Back
Top Bottom