Msaada

LadySwa

Member
Jan 25, 2009
77
6
wajameni nina mtoto wa dada yangu ndio kamaliza form 1v sasa na kapata dvs 3 ya point 24. ni mvulana je kuna vyuo gani vizuri anaweza kwenda na kuwa na hakika ya kupata kazi kwa uhakika?
 
wajameni nina mtoto wa dada yangu ndio kamaliza form 1v sasa na kapata dvs 3 ya point 24. ni mvulana je kuna vyuo gani vizuri anaweza kwenda na kuwa na hakika ya kupata kazi kwa uhakika?
Kwa nini unataka kumpitisha mtoto njia ya mkato kielimu? Muache aendelee kusoma mfumo rasmi aende 5/6 halafu mambo mengine yatajiseti yenyewe huko mbele. Kwa level hiyo choice ya vyuo kwake itakuwa very limited.
 
mimi naungana na Jayfour. kwa nini usimuache aendelee na shule?njia za mkato kimaisha hazifai ndugu...
 
Kwa hiyo div na hizo points lazima atakuwa na credit za kutosha mwache aende 5 na 6 nina uhakika breki ya kwanza itakuwa mlimani
 
akifanya shortcut itakuja kumgharimu........muacheni aendelee 5/6 atakuja kuwa na choice nzuri ya vyuo baadae
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom