kwa namna moja ama nyingine huwezi jua password hizo mpaka akupatie mwenyewe, pia kama unataka kwa zile njia nyeusi kazi sio ndongo kiasi kwamba sizani ina umuhimu mkubwa kiasi hicho.
ungekua unatumia android ningekushauli u download ki aplication flani kinaitwa wifi hacker, hako ni noma kina hack key za wireless but ni ssid tu
simu yoyote inayosuport android namaanisha mana nimeshajaribu kumsaidia mtu kudownload kwenye nokia but kiligoma nafikili hakisuport win mobile, ni android tuuAndroid aina ya sim? Kama sim haiwez kukubali kwa Nokia 6120c, then key nka2mia kwenye laptop