Wanajamii ningeomba msaada:-katika balozi zote huko nje ya tanzania, Je Zanzibar ina mabalozi wangapi na Tanganyika ina mabalozi wangapi mna kila nikisikia majina ya mabalozi wetu wooote wanaotajwa kutoka tanganyika sijapata kusikia from znz...msaada tafadhalini