msaada

pincode

Member
May 4, 2012
89
23
kwa wenzangu tuliona tatizo ktk fomu za bodi ya mkopo nmekosa pcha ya mfadhil na signature wanavosema naipata wapi fomu mpya au nafanya nn??naomben msaada wadau asanteni
 
c walisema uende bodi ukachukue fomu yako, uondoke nayo ukarekebishe then uirudishe ndani ya wiki mbili ikiwa imekamilik.
 
Back
Top Bottom