msaada

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
400
Binafsi mimi ni mhitimu wa chuo kikuu kimoja hapa tz,nimeamua kuwa wazi ili nipate msaada dhabiti kutoka kwenu,binafsi namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuhitimu chuo kikuu bila shida kutokana na misaada kutoka kwa ndug na jamaa.tatizo linalonisumbua ni jinc gani nitaweza kuielewa lugha ya kiingerez vizuri maana toka nianze shule sijawahi kufaulu lugha hii maana mpaka naenda chuo nimepitia elim ya qt yaani miaka 2 kusoma form one to form four na form six mwaka mmoja.hii inatokana na hali ngumu ya familia yangu ilioshindwa kuniendeleza chuo,sasa nimemaliza chuo ila tatizo ni lugha ya kiingereza,kiukweli siijui hii lugha,naomba msaada jinsi ya kuijua na kuielewa vizuri
 
Back
Top Bottom