msaada

situmai

Member
Jun 29, 2012
85
18
naomba msaada mm before nilikuwa nina hamu tu vizuri ya kufanya mapenzi ila siku hizi sina hamu kabisa,nisaidieni
 
Mshukuru Mungu sana. Tanzania bila ukimwi inawezekana kabisa.
 
pole,huwa inatokea labda una stress ada za watoto umelipia?lol kama unatumia vidonge vya uzazi wa mpango acha,na pia labda umekinai tu kutokana na kukosa ubunifu,zungumza na mwenzio mjue mtalisolve vipi....
 
naomba msaada mm before nilikuwa nina hamu tu vizuri ya kufanya mapenzi ila siku hizi sina hamu kabisa,nisaidieni
Mkuu situmai pole sana ninakupa Dawa yangu hii fanya hivi: Dawa ya Kuamsha tamaa ya Kufanya tendo la ndoa (Sex) kwa Mwanamke na kwa Mwanamme,
Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na Asali. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Tumia kisha uje hapa hapa unipe Feedback.
 
MziziMkavu, mimi hamu ninayo lakini naona nguvu zinaniishia nikiwa na mke wangu, ila nje napiga goli hata 4 bila wasiwasi, inakuwaje? Na hilo yai unachemsha na tangawizi ama?
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu kinautwa super gift tumia iyo dawa kwa mwezi 1 afu utaona kinu kitakavyoanza kuchemka.
 
MziziMkavu, mimi hamu ninayo lakini naona nguvu zinaniishia nikiwa na mke wangu, ila nje napiga goli hata 4 bila wasiwasi, inakuwaje? Na hilo yai unachemsha na tangawizi ama?
Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na Asali. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Tumia kisha uje hapa hapa unipe Feedback.@Mkereketwa_Huyu​

duh juice ya tangawizi? poa will do dat na ntaleta feedback
 
Back
Top Bottom