msaada

sasa mkuu utaingia aje jukwaa la dini wakati umetoka jukwaa la wakubwa?.mpm invisible amueleze shida yako atakusaidia. Mia
 
Dah.....katika jukwaa ambalo sijawahi hata kulifikiria ni hilo la dini, huwa nahisi kuna mabishano mengi sana na mabezo yasiyo tija! Anyways....tafuta ufunguo best, mwambie invisible akugee!
 
Alafu we Kipipi we haya tu!
 
Back
Top Bottom