Msaada

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
poleni na majukumu yooote, habari za masiku tele, naombeni msaada wapi naweza kwenda ( dar) kwa mashindano kama ya kuogelea, cycling, or running event, please like kila week or mwezi, au kama unajua wapi wanahusika na hizo events.
Mbarikiwe sana.......
 
nenda ud kama unataka kuogelea..
 
Nenda leaders club wapo wadau kibao pale ila swimming nenda UDSM pale kuna professionals. Mengineyo nenda yatch club masaki au kama unataka tennis nenda viwanja vya posta hapo sayansi. Mazoezi mema.
 
well said kabisaaaaaaaaaaaa, ukisema huna mda hata na maisha yako basi itakula kwako daima,sinywi pombe, sivuti sigara,disco mara moja moja, nina watoto wazuri, Mungu kanipa mume bora, unataka niombe nn tena Duniani?kijana maisha hayajirudiii etiiiiiiiiiiiiiii
Duh! Na wewe muda wa kula makange na kunywa bia unautoa wapi? In short ukisoma ameandika japo mara kadhaa kwa wiki au kwa mwezi.
 
bora kabisaaaaaaaaaaa ulivyomjibu, bahati mbaya nimekujibu ww badala ya senetor alosema mda uko wapi
Duh! Na wewe muda wa kula makange na kunywa bia unautoa wapi? In short ukisoma ameandika japo mara kadhaa kwa wiki au kwa mwezi.
 
Nenda Leaders weekdays jioni&weekend asubuhi utawakuta wa2 kwa ajili ya mazoez ya kukimbia,kuogelea nafahamu kwa UDSM pale Swimmin pool utawakuta wa2 wakushindana na training pia,tennis&golf gymkhana pale town pia. Mazoez mema rafiki.
 
mwaya nenda fun cityau bahari beach utaenjoy na familia yako,mazoezi nenda Gymkhana.
 
mwaya nenda fun city kigamboni au bahari beach utaenjoy na familia yako,mazoezi nenda Gymkhana.
 
Asante sana wapendwa,

Back
Top Bottom