msaada

Uzuri

Member
Dec 31, 2008
45
2
natumia nokia 6120c,nna wiki sasa inagoma kusoma memory card,inasema file corupted ,nimebadili memory card zaidi ya 2 lakn wapi.ukiweka mpya inasoma baada ya kama lisaa limoja inagoma inasema file corupted lkn hyo hyo card ukiweka kwa cmu nyngne inasoma.tatizo inaweza ikawa ni nn na nn soln yake. Msaada wadau
 
kijana pleka simu yako kwa mtaalamu wa software ana kuflashia na itakuwa mpya kabisa huo ni ugonjwa wa kisoftware ok usiwe na mashaka ok mana hapo kinachotekea simu ndio inayofanya mvurugano huoooo
 
thanks,haitaleta matatizo baada ya kuiflash kama vile kukataa kuinstal apps?
 
jaribu *#7370#,itaformat simu kabisa,simu iwe inacharge,ikiwa inaformat iache mpaka imalize.
 
Back
Top Bottom