Kauzu Kinyama
Member
- Aug 13, 2011
- 41
- 5
Wakuu naomba msaada wa kuactivate Bluetooth kwenye laptop, ni dell inspiron n5040. Icon ya bluetooth inaonekana lakini ila kwenye devices bluetooth haionekani na siwez kutuma wala kupokea file.
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.