Wana jf nauliza haiwezekani kuongeza nguvu dishi la futi 6 liweze kukamata kama la futi 8
Dishi la futi sita haliwezi kufikia dishi la futi nane bali unaweza ukaliongezea nguvu kwa kupata signal kubwa kwa kubadilisha LNB, LNB za C band zipo za aina mbili
kuna C band single solution na C band ya kawaida C band single solution inanguvu kubwa ya kuongeza signal kuliko C band ya kawaida
C Band Single Solution Cable!!
View attachment 47114
Hii ni kwa wale wanaokaa sehemu zenye shida kupatikana Signal,kama mabondeni,karibu na minara ama wamezungukwa na mitambo mitambo watu wa mkowani
C band hii hutumika kwenye Dish ya C band tu ijapokuwa kuna KU ambazo zinahimili interference pia kama ilivyo hii isipokuwa mara nyingi KU hata kwenye interference inakama Signal vizuri!!
Tazama tofauti yake kimuonekano:
View attachment 47112
Hii ni C Band Single Solution Cable
View attachment 47113
Hii ni C Band ya kawaida
Pia katika uingizaji wa freeguency kuna tofauti kati ya c band ya kawaida na c band single solution!!
Ambapo kwa single solution unatoa 600 za upande mmoja.
Mf: frequency ya ITV,EATV,CAPITAL-F3642 S8545V (F3042 S8545V),hivyo za V zote unatoa 600 isipokuwa za H hutoi!!!
tofauti single solution ina kichwa kikubwa kuliko LNB ya kawaika
Nakushukuru sana da fatma kwa mchango wako nitaufatilia. Once again thanx.