msaada.

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
salaam wanajamvi,
Simu yangu aina ya nokia 5530 kila nikiweka video au nikitaka angalia u tube inakataa,

Wanasayansi wa jf mnanisaidiaje?
 
Hilo tatizo hata mimi huwa linanitokeaga Nikiweka Airtel inakataa ila nikiweka Voda inakubal Sa sijui wewe unakuwa unatumia mtandao up
 
Maranyingi sana airtel wanamatatizo ya kuangalia youtube video kwa mobile, nahisi kutakuwa na matatizo kwenye mipangilio yao
 
Back
Top Bottom