msaada

Eddy Bablon

Member
Jan 10, 2012
11
0
Wakubwa naombeni msaada natumia n73 kila nikidowload application haita kuistall inaniandikia unable to install naombeni msaada wenu kwa wale wataalam wa mambo haya.
 
Mimi nadhan hizo application unazodwnload sio mahsusi kwa N73. jaribu kudownload kupitia 'application manager' ya hiyo simu yako.
 
nikidowload game pia haikubali ila music inakubali nikidowload na pia bluetooth yangu haitaki kufungu inaniandikia inable to perform bluetooth operation
 
Wakubwa naombeni msaada natumia n73 kila nikidowload application haita kuistall inaniandikia unable to install naombeni msaada wenu kwa wale wataalam wa mambo haya.

Inawezekana format za application unazodownload haziendani na simu yako
 
n73 inakubali games za aina 2, java na symbian s60 fp1 zenye os ya 9, hapa kwenye symbian zipo game za os 8 zinazoishiwa na .sis kwa mbele hizi si za simu yako game za simu yako mara nyingi zinatakiwa ziishie na sisx. simu yako inakubali game zenye resolution ya 240x320 s60v3 ingia website hizi hapa chini kujipakulia games

games.gameloft - peperonity.com
http://gameloft0.peperonity.com
Free download
kama tatizo litaendelea simu itakua na matatizo toa memory card then i format simu.
 
Recomendation!! Download kupitia OVI STORE ndo utapata application ambazo ni compatible na phone yako.
 
wakuu na shukuru sana nimejaribu na imeshakubali,je ngine ni bluetooth haitakikufunguka nikiifungua inaniandikia unable to perform bluetooth operation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom