Msaada

marida

Senior Member
Oct 27, 2011
168
20
habari zenu jamani,nna tatizo moja,moyo wangu unauma sana,yaan kama nimepewa taarifa mbaya vile,au nna huzuni flani,lakini hapana,niko bila tatizo,but moyo wangu unauma sana,ndo nini hiki?help me doctorz..
 
Kama wewe ni mnywaji wa pombe yoyote (beer/whisky/brandy/cognag/wine/rum/chibuku n.k), hebu tafuta yule shoga/rafiki yako mpenzi mtoke mkapate kidogo pombe huku mkitia story, itafuta kabisa huo msongo wa moyo. Acha kukaa kiupweke upweke
 
habari zenu jamani,nna tatizo moja,moyo wangu unauma sana,yaan kama nimepewa taarifa mbaya vile,au nna huzuni flani,lakini hapana,niko bila tatizo,but moyo wangu unauma sana,ndo nini hiki?help me doctorz..

marida kuna ki2 tu kinakusumbua ambacho hujajua. mwone dk fasta, usisubiri zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom