Msaada

Ikimura

Member
Apr 1, 2011
22
2
Habari wana jamii, mimi na mke wangu tuna kama miaka mitano tuko pamoja, ila kitu kinacho nitatiza nikuwa wakati tukitaka kufanya majambo...hasa kwenye foreplay huwa lubricant haitoki...what might be the problem????

Asanteni..
 
eleweka basi..umeandika as if wote tunakuaga eneo la tukio...hiyo lubricant yako aa yake haitoki??

Back
Top Bottom