Msaada....

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,771
59,121
Hey guys...
I hope y'all are doing great!!

Neway nahitaji msaada wenu kidogo...
Ntakua Dar katikati ya Dec - katikati ya Jan na nnahitaji sehemu ambayo naweza kufanya kazi... VOLUNTARILY.
Not just any place though...nataka sehemu inayojihusisha na maswala ya kijamii..NGO, Sehemu ya kulelea watoto yatima n.k.
So nnachohitaji toka kwako wewe ni recomendation ya sehemu, majina, na contact za watu wanaohusika nazo if possible. Will highly appreciate anything you throw my way...thanks in advance!!

Ohhh na nimeweka hapa kwasababu wanajamii ndo nyie ...na nna uhakika hapa MMU mpo watu mnaojihusisha na maswala ya kijamii!!

Thanks again....
 
FHI/Tanzania

Street Address:
FHI
Ali bin Said Street
Plot 1270, Oysterbay (behind Karibu hotel)
Mailing Address:
PO Box 78082
Dar es Salaam, Tanzania
Telephone:
255 0 22 266 7815
Fax:
255 22 260 7819
FHI 360

CARE Tanzania
P.O.BOX 10242
Dar es Salaam
Save the Children

Foundation For Civil Society
The Foundation for Civil Society | Tanzania

Tanzania Association of NGO's - TANGO
Off Shekilango Road Sinza Afrika Sana
P.O.BOX 31147 Dar es Salaam
+255 22 277 4582

Hope this helps.....If i get more i will add, most of the NGO's in Tanzania hawana addresses wala websites sometimes inabidi uende physically pale pale ili uweze kuonana na contact person

Thanks desh desh..
Ntawapigia nikipata nafasi nione wanasemaje!!
Ukipata nyingine ...ONGEZA!!
 
Hadija Mwanamboka ana kituo cha kulea yatima Kinondoni na huwa anahitaji volunteers(nitakuwekea contacts hapa hivi punde), na pia kuna yatima Uporoto ambaye atashukuru kupata malezi mazuri wa muda huo mfupi.

Hahahha...
Nirushie hizo contacts kwanza alafu ntakufikiria!!!
 
Hadija Mwanamboka ana kituo cha kulea yatima Kinondoni na huwa anahitaji volunteers(nitakuwekea contacts hapa hivi punde), na pia kuna yatima Uporoto ambaye atashukuru kupata malezi mazuri wa muda huo mfupi.
Uporoto hii ya Mwanamboka ndio ile inaitwa Tanzania Mitindo House nafikiri Lizzy anaweza kucheki na website yao Tanzania Mitindo House - TMH wana center mbili za watoto MAGOMENI na KIGAMBONI
 
Hongera sana dada kwa kuwa na moyo wa kujitolea. Tumezoea wazungu kuja Tanzania kufanya shughuli za kijamii kwa kujitole, wakati sisi tupo.

Nakutakia kila la kheri ktk kazi zako, mungu akujaalie maisha mema.
 
Hadija Mwanamboka ana kituo cha kulea yatima Kinondoni na huwa anahitaji volunteers(nitakuwekea contacts hapa hivi punde), na pia kuna yatima Uporoto ambaye atashukuru kupata malezi mazuri wa muda huo mfupi.
Dah!! Kamanda nilikuwa sijui kama na wewe huwa unadeka aiseee nina kituo cha kulea watu wakubwa kama wewe
 
Naona Finest kado ze nidful hapa chini, na hiyo nyingine ni www.yatimauporoto.co.tz

Asante mkuu.

Hehehe...nimeshatumia request nasubiria majibu!!

Hongera sana dada kwa kuwa na moyo wa kujitolea. Tumezoea wazungu kuja Tanzania kufanya shughuli za kijamii kwa kujitole, wakati sisi tupo.

Nakutakia kila la kheri ktk kazi zako, mungu akujaalie maisha mema.

Asante mkuu...
 
Hey guys...
I hope y'all are doing great!!

Neway nahitaji msaada wenu kidogo...
Ntakua Dar katikati ya Dec - katikati ya Jan na nnahitaji sehemu ambayo naweza kufanya kazi... VOLUNTARILY.
Not just any place though...nataka sehemu inayojihusisha na maswala ya kijamii..NGO, Sehemu ya kulelea watoto yatima n.k.
So nnachohitaji toka kwako wewe ni recomendation ya sehemu, majina, na contact za watu wanaohusika nazo if possible. Will highly appreciate anything you throw my way...thanks in advance!!

Ohhh na nimeweka hapa kwasababu wanajamii ndo nyie ...na nna uhakika hapa MMU mpo watu mnaojihusisha na maswala ya kijamii!!

Thanks again....

Kuna pastor mmoja namjua anasaidia watoto yatima kama 16 hivi, mitaa ya bunju b, naomba uni pm nikupe details zake
 
Daddy Ngabu Early Childhood and Daycare Center
PO Box 35050
Upanga
Dar es Salaam, Tanzania
 
hongera Lizzy kwa kuwa na moyo huo..
ushauri wangu ungechukua na kuomba watu wakupe
nguo zao nzuri lakini haawazivai kwa sababu zozote zile

hizi zitawasaidia sana ukiwapelekea watoto yatima..

narudia hapa NGUO ZIWE NZURI na sio zile za kutupa...
 
Back
Top Bottom