Msaada

Soraya

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
202
65
Hey people,eti nitawezaje kupata service sijui ndio software ambayo unaweza uka record calls unazopiga na kupokea.Au ni lazima iwe automatic kwenye simu,msaada please.
 
Mkuu vipi unahisi kuibiwa nini teh teeeeeh
Software zipo ila sasa kwanza zitaku cost, pili inategemea na aina ya simu kama inaweza kuibeba hiyo software,
Just google mobile spy
 
ultimate voice recorder
call recorder
live PVR
etc
nategemea simu yako inatumia os gani,kukusaidia kidogo
nokia nyingi-symbian
samsung-android
htc-windows and android
iphone-mac
mchina-java
etc etc
 
Shukran kwako
 
Yangu ni samsung inayotumia hiyo android
 
Back
Top Bottom