msaada!

Tatizo ni pale umevaa earphone kwa daladala au sehemu yeyote then ukadhani kila mtu aliye karibu yako anasikia wimbo unaosikiliza unaongeza sauti nakuanza kiviachia kuendana na beat ya wimbo unaosikiliza ukidhani watu hawasikii gafla wakaanza kukuangalia na ukashtuka ni earphone du kama una aibu kwenye daladala utashuka kwenye kituo cha karibu ila wagumu tunaona kawaida
 
Back
Top Bottom