Msaada

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Habali za asubuh ndugu zangu napenda kujifunza zaidi maswala ya biashala je ni mitandao gani inayohusika kutoa elimu kama hiyo
 
Biashara ina maana pana sana ndugu. Kuna;
1. Masoko/marketing
2. Ununuzi/procurement
3.uanzishwaji wbiashara/how to start a venture
4. Uhasibu
5. Uzalishaji
6. Usambazaji/distribution
etc
kwahiyo wewe sema wataka kujifunza nini. Be a bit specific ndugu yangu.
We learn, you learn as well isn't it??
 
Ok. Nimegundua sijajibu swali. Tumia google.com kuuliza chochote utakacho hata kama wataka kuanzisha danguro, wapo wataalamu na web husika eeeee baba
 
Back
Top Bottom