Msaada

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
Za jioni waungwana|? natumaini wote tupo sawa. Nikirudi kwenye hicho kichwa hapo juu,napenda kuuliza swali je kuna umuhimu wowote kuwa na wabunge wa viti maalum wakati kila jimbo lina mbunge wake? je,kazi yao kubwa huko ni nini?
 
Hawana kazi! Hata wale 10 wa kuteuliwa na Rais nao sioni kazi yao ni nini! Je, wanamwakilisha Rais aliyewateua? Certainly not! Wanakula fedha zetu bila kutoa jasho!
 
Za jioni waungwana|? natumaini wote tupo sawa. Nikirudi kwenye hicho kichwa hapo juu,napenda kuuliza swali je kuna umuhimu wowote kuwa na wabunge wa viti maalum wakati kila jimbo lina mbunge wake? je,kazi yao kubwa huko ni nini?
Wabunge viti maalum kwa kazi maalum!
 
Back
Top Bottom