Msaada

je kuna uwezekano wa kuongeza speed ya internet kwakutumia simu km modem?
Mkuu kwa uelewa wangu kuna speed inayotolewa na isp na kuna speed ile simu yako inaweza kupokea, so kama isp wako anatoa speed ya 3.1mpbs huwezi tumia kitu chochote kuongeza speed hiyo na kama simu yako inauwezo wa kupokea speed fulani theres nothing you can do maana huo ndio uwezo wake.
Labda wataalamu watueleze zaidi
 
pauls yuko sahihi kutumia simu hakutaongeza speed kama ISP wako ndo anasababisha speed ndogo.

Kama speed ndogo inasababishwa na modem (Sidhani!) basi kutumia simu yenye uwezo wa kusupport speed zaidi kunaweza kuongeza speed, all other things being equal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom