Msaada

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
Joseph na Joyce ni wanandoa wanaoishi pamoja. Jose aliamua kumleta mdogo wake wakiume Jonathan kuja kuish nao. Mda si mrefu Jose akapata safar ya kikazi Kualalumpar na kumwacha mdgo wake na mkewe tanzania. Muda ulipita huku Jonas na Joyce wakiishi bila matatizo yoyote. Pale nyumbani walikua wanaogea bafu moja aina ya bath tub(kama sinki lakuogea). Jonas alikua na mtndo wakujichua(masturbation) akiwa anaoga,na kama inavobainika kisayans kwamba manii huweza kukaa kwenye conducive environment kwa muda wa siku 2-3 alive. Joyce baada ya muda mfupi akajakugundua kua ni mjamzto bila kujua kilichosababisha. Naam,bwana Jose kapga simu anawasili nchni. Je,joyce atamweleza nin jose aweze kumwelewa? Naomba maön yako
 
c amwambie ni mimba ya kwnye sink la kuogea? Ila hii imekaaje? Ina mana wanashea maji ya kuogea? Huu sasa uchafu wa hadharani! Ckubali bana!
 
Jonas kakubali alikuwa anapigia nyeto au assumption? Basi mke awe wa jonas kaka m2 ndo shemeji.
 
c amwambie ni mimba ya kwnye sink la kuogea? Ila hii imekaaje? Ina mana wanashea maji ya kuogea? Huu sasa uchafu wa hadharani! Ckubali bana!

Inaweza ikawa ni slightly mistake lakn ndo ishatokea,so we unashaur nn
 
hadidhi za kwenye magazeti!!

si amwambie niya roho mtakatifu???
 
mmm japo kisayansi inawezekana kweli lkn huo mtata ni mkubwa.
sipati picha reaction ya bwana joseph.
 
kumbe mimba inaingia kirahisi namna hiyo! bac nitawatia mimba wengi kwa style hii
 
Acha story za Abunwasi, yaani wana janvi nilikuwa nawaona great thinkers, hata kwa hili mwashindwa ona kabisa. Hayo
yanaweza kaa siku tatu kama watu wamejamiana, na ni ndani ya mwanamke, siyo kwenye sink la kuogea. hilo jamaa analosema ni uongo mkubwa, impossible under this earth
 
Wewe unatudanganya, sinki si sehemu muafaka ya kusurvive manii, yaani mazingira ni totally different
 
Labda dr Riwa aje atusidie jibu kama alishawahi kusikia kesi kama hii katika pita pita zake
 
Naona hapa hakuna ukweli katika hoja hii. Natoa somo kidogo, samahani nitachanganya kimombo na kiswahili.


During mans' ejaculation, usually sperms mix with accessory fluids (formed by seminal vesicles, cowper's glands, and the prostate gland) to form semen. The roles of the accessory fluids are: to provide energy required to move the sperm forward to the upper vagina, to provide alkaline environment that activates the sperm and provision of optimum chemical environment for the sperms. Then this mixture (semen) is deposited inside the vagina through copulation. Once deposited within the vagina, sperm cells move to the upper vagina (via contractions from the vagina) through the cervix and across the length of the uterus toward the ovum. Thermotactic and chemotactic gradients are involved in sperm guiding towards the egg cell. It is here that fertilization may occur if an "egg" is present. The trip of the sperms is fraught with heavy mortality. An average human ejaculate contains over one hundred million sperm, but only a few dozen complete the journey, arriving within 15 minutes of ejaculation. And of these, only one will succeed in fertilizing the egg.


Conclusion. Sperm ndani ya sink la kuogea naamini inakosa mazingira haya. Hata kupitia in vitro na artificial insermination, huwa kuna mazingira yanayoandaliwa ili fertilization i-take place. Ni vizuri Joyce awe mkweli kusema kwamba Jonas amejiamiana naye, asitoe visingizio
 
Back
Top Bottom