Msaada yamani

Bratherkaka

Senior Member
Apr 30, 2012
101
10
hello!
naomba msaada jamani,,, ninapata shida kwenye mkojo,,, nisipokunywa maji ,,,.na kojoa makojo unanuka sana paka kero,.,., pia nikipata hiyo hali hadi mamivu,,. !!! msaada jamani kama mara tatu now imetokea...
 
Una matatizo ya maradhi ya kuzuilika kwa mkojo Mkojo huwa hautoki ila kwa shida na kuumwa na haukojoi ila hutoka matone matone au mpaka unywe maji mengi ndio waweza kukuojoa.Itabidi uende haraka kwa Daktari akuchunguze kisha

akupe Dawa. Jaribu kutumia dawa zangu hizi huenda ukapona inshallah, Kunywa maji ya Majani ya Tango utie ndani yake

sukari kidogo. au tumia dawa hii Unywe Maziwa ya Ng'ombe na sukari usile chakula chochoe chakula chako kiwe hicho nilichokuambia tumia itaweza kukusaidia na fanya uende kumuona Daktari.@Bratherkaka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom