Msaada Win XP inakataa kwenye LAPTOP dell inspiron 6000!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Habarini wana JF, Kuna dell laptop Inspiron 6000 kila nikitaka kuweka win XP inaenda hadi sehemu fulani kisha inagoma na kuleta blue screen na maandishi ya bluee "Check memory..." sijayashika vizuri. Nikaamua kubadilisha RAM na Hard disk lakini bado tatizo linaendelea kwa win xp tu! Nikitumia VISTA na win7 haina Tatizo please naomba msaada wenu nini nikifanye kutatua tatizo hili?
 
Je unatumia CD yenye XPSP3?

Inawezekana BIOS inashindwa kusoma HDD yote ya hiyo dell sijui HDD yako ina ukubwa gani? So tafuta namna ya kucheza na set up za SATA.

Unaweza kugoogle na kujaribu pia jinsi ya customise na kutengeza windows XP CD yenye drivers a SATA anzia hapa How To Slipstream SATA Drivers Into XP CD
 
Ndiyo ina Xp3, lakini nimejaribu hata sp2 na Proff. Zote zinakataa ni Vista na Win7. Nimejaraibu kwenye HDD ya 40gb nimenunua mpya ya 160 nayo inakataa. Ngoja nijaribu maelekezo yako. Maneno inayoleta ni haya

*** Hardware Malfunction
Call your hardware vendor for support
NMI: Parity Check/Memory Parity Error
*** The system has halted ***
 
Hiyo ni special kwa windows vista au windows 7..xp lazima igome.
 
Hiyo ni special kwa windows vista au windows 7..xp lazima igome.
inawezekana ikiwa utabadilisha mpangilio ktk bios mimi mwenyewe nimewahi kukutana na machine mbili tofauti lkn bios zake hazifanani ila moja nili-enable option ya (boot with other os)
 
Ndiyo ina Xp3, lakini nimejaribu hata sp2 na Proff. Zote zinakataa ni Vista na Win7. Nimejaraibu kwenye HDD ya 40gb nimenunua mpya ya 160 nayo inakataa. Ngoja nijaribu maelekezo yako. Maneno inayoleta ni haya

*** Hardware Malfunction
Call your hardware vendor for support
NMI: Parity Check/Memory Parity Error
*** The system has halted ***

MKuuu nimenaglia kwenye website ya dell mashine yako imekuwa desinged kwa ajili ya XP. kwa hiyo mambo ya SATA sio issue kama tulivyosema. Hata hiyo Option ya Nlite niliyokupa achana nayo.

tatizo nadhani kuna corrupt RAM. Ngoja niendelee ku google nitauja na options nzuri lakini kama unaweza concetrate na RAM. Je RAM iliznazo ni original zilija na hiyo DEll na specification za RAM zikoje ( DDR RAM au SDRAM)
.

Kama umefanya upgrade ya RAM jaribu kurudisha RAM zilizokuwepo awali.

Baada ya kuangalia wesite ya DEll tatizo la mashie yako SIO SATA wala HDD bali nia RAM

Microsoft
http://support.microsoft.com/kb/315223 upande wao katika kutatua hilo tatizo moja ya pendekezo linalweza kutatua tatizo lako ni hili

[h=3]Check the Memory[/h] Remove any extra memory modules that are in the computer, leaving only the least amount that is required for the computer to start and run Windows. Restart the computer to see whether the error messages persist.

If the error does not reappear, the issue is isolated to one or more of the RAM modules that you removed from the computer. Continue to remove and replace the minimum amount of RAM required, using the memory modules that you removed. When the error returns, you have isolated the individual memory module that is responsible for the problem.

This process may require you to restart your computer several times to pinpoint the specific memory module that is not working correctly.

[h=4]Solution[/h] Replace the defective RAM module.

Microsoft has released a software memory diagnostic tool, Windows Memory Diagnostic. Windows Memory Diagnostic tests the Random Access Memory (RAM) on your computer for errors. To download this tool, visit the following Microsoft Web site:http://oca.microsoft.com/en/windiag.asp

Sasa sijui laptop yako ina RAM kiasi gani?

hyo inasupport Window zenye feature za SATA.. na Xp haisupport SATA yenyewe ni IDE tu... nenda kwny BIOS SETUP na udisable SATA.
 
MKuuu nimenaglia kwenye website ya dell mashine yako imekuwa desinged kwa ajili ya XP. kwa hiyo mambo ya SATA sio issue kama tulivyosema. Hata hiyo Option ya Nlite niliyokupa achana nayo.

tatizo nadhani kuna corrupt RAM. Ngoja niendelee ku google nitauja na options nzuri lakini kama unaweza concetrate na RAM. Je RAM iliznazo ni original zilija na hiyo DEll na specification za RAM zikoje ( DDR RAM au SDRAM)
.

Kama umefanya upgrade ya RAM jaribu kurudisha RAM zilizokuwepo awali.

Baada ya kuangalia wesite ya DEll tatizo la mashie yako SIO SATA wala HDD bali nia RAM

Microsoft
http://support.microsoft.com/kb/315223 upande wao katika kutatua hilo tatizo moja ya pendekezo linalweza kutatua tatizo lako ni hili

Sasa sijui laptop yako ina RAM kiasi gani?

Nashukuru kwa msaada wako mkuu, nimeshasolve tatizo!
 
Nashukuru kwa msaada wako mkuu, nimeshasolve tatizo!

mkuu kwa kumbukumbu na rekodi unaweza kutupa hints ni njia ipi katika hizo trial and error iliyokubali ili wadau tukipata tatizo kama hilo tupunguze muda wa kutroubleshoot.
 
mkuu kwa kumbukumbu na rekodi unaweza kutupa hints ni njia ipi katika hizo trial and error iliyokubali ili wadau tukipata tatizo kama hilo tupunguze muda wa kutroubleshoot.
Nilijaribu kupitia Forum mbalimbali nikakuta wengi wamekutana na tatizo kama langu lakini hawakupata ufumbuzi nikatumia mtindo wa T & E NiLIPO DISABLE WIRELESS CONTROL na WIRES DEVICE Ikakubali kwa kuwa njilikuwa nimechoka sijaendelea kutafiti kati ya hizo mbili ni ipi unatakiwa Kui DISS all in all DIS WIRELESS.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom