Elections 2010 Msaada:Wimbo wa kampeni ya CHADEMA kwenye simu.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Nilifurahi sana baada ya kumpigia jamaa yangu mwenye Number ya tigo...kwa kutumia Tigo na kusikia wimbo wa Kampeni wa CHADEMA "CALLER BACK TUNES"

Wenye baadhi maneno yafuatayo "Huzuni kwa waTanzania Ari mya iko wapi? kasi mpya iko wapi? nguvu mpya iko wapi? TUWAMWAGE TUWAMWAGE CCM..." Kwa utaratibu tunaofanya hapa TZ unabonyeza nyota * unakuwa wako lakini nikaukosa nikapiga namba zao za kuomba nyimbo Chali... Nikapiga Cutomer care wakaniambia kama naujua kwa jina niwapatie waweke automatically
Ombi langu kuna mwanaJF anajua jina la wimbo huo? Au namba yake Short Code? Naombeni msaada nina wanaharakati 30 wanautaka wimbo huu je makampuni mengine yana nyimbo za kampeni za CHADEMA? AHSANTENI Mdau Tusker Bariiiidi!
 
Wadau msaada please...
 
Back
Top Bottom