salamu aleykum wana jamvi,
nina external driver western digital 480 gb,nimeweka data zangu ambazo ni kama 80% capacity ya storage, lakini jana nikajaribu kufanya kazi( ku access) nimepigwa na butwaa haisomi na message ina sema natakiwa kui format, nimechanganyikiwa siju nifanye nini, naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa swala kama hili anisaidie