Venant Ben
Senior Member
- Nov 29, 2010
- 155
- 10
...wakuu kuna external ya 1TB,na sio portable,yenyewe inatumia umeme,but jana nilidondosha bahati mbaya then sehemu ya kuchomekea USB wire ikang'oka so siwezi tena kuchomeka USB wire but nikichomeka waya unaoingiza umeme ktk external inaonesha unaingia vizuri kwasababu inawasha taa kama kawaida,so naomba kujua kama kuna uwezekano wa kubadilisha housing ya hii external?kwasababu HD yake ni kubwa kama ya desktop! if yes nitapata wapi au maduka gani kwa anayejua!and hata kama nikibadilisha ninaweza kupata tena data zangu?mana karibia 87%imetumika,au kama kuna fundi yoyote naweza kuelekezwa ili nimpelekee!
Natanguliza shukran!
Natanguliza shukran!