Msaada wenu

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Hv mtu akiwaa na diploma ya computer science eng kima cha chini ni sh ngap'na akiwa na diploma ya it kima cha chini sh ngapi'
 
Soko huria mkuu hadi kwenye ajira. it depend na organisation utayopata.Cha msingi ni money has never been enough whatever the figures teh teh teh.

  • Some organisation negotiate salary na muajiriwa
  • Saalary inaweza kuwa determined na experience
  • Salary inaweza kuwa influnced na eneo mkoa au utakaofanya kazi.?
  • Salary inaweza isiwe factor ya net income . huu ujanja unatumika ma mashirika na makapuni kuwkepa kodi na michango ya NSSF ya wafanyakazi kwa
 
nashukuru mkuu'
 
Back
Top Bottom