Mzenjibar JF-Expert Member Sep 13, 2011 227 292 May 2, 2012 #1 habar zenu wakubwa ,kuna dogo amepata three ya17 yenye principle moja je ni vyuo gani anaweza kusoma sheria kwa diploma.natanguliza heshima kwenu
habar zenu wakubwa ,kuna dogo amepata three ya17 yenye principle moja je ni vyuo gani anaweza kusoma sheria kwa diploma.natanguliza heshima kwenu
Maganga Mkweli JF-Expert Member Jul 14, 2009 2,089 829 May 2, 2012 #2 Mzenjibar said: habar zenu wakubwa ,kuna dogo amepata three ya17 yenye principle moja je ni vyuo gani anaweza kusoma sheria kwa diploma.natanguliza heshima kwenu Click to expand... cheki tumaini makumira university wana diploma in law Academic Programmes
Mzenjibar said: habar zenu wakubwa ,kuna dogo amepata three ya17 yenye principle moja je ni vyuo gani anaweza kusoma sheria kwa diploma.natanguliza heshima kwenu Click to expand... cheki tumaini makumira university wana diploma in law Academic Programmes
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 May 2, 2012 #3 Check chuo cha uongozi wa mahakama lushoto au mzumbe university tawi la mbeya.
Mzenjibar JF-Expert Member Sep 13, 2011 227 292 May 2, 2012 Thread starter #4 Senetor said: Check chuo cha uongozi wa mahakama lushoto au mzumbe university tawi la mbeya. Click to expand... nanushukuru bhana senetor
Senetor said: Check chuo cha uongozi wa mahakama lushoto au mzumbe university tawi la mbeya. Click to expand... nanushukuru bhana senetor
Mzenjibar JF-Expert Member Sep 13, 2011 227 292 May 2, 2012 Thread starter #5 Maganga Mkweli said: cheki tumaini makumira university wana diploma in law Academic Programmes Click to expand... nimekuelewa mkubwa
Maganga Mkweli said: cheki tumaini makumira university wana diploma in law Academic Programmes Click to expand... nimekuelewa mkubwa