Msaada wenu wadau kufanya installation

mega mind

Member
Apr 16, 2011
12
0
jamani wadau naomba mnisaidie nina laptop yangu imegoma kufanya installation ya window.inafika mahala inastuck kabisa.inaishia kwenye kipengele kinachosema SETUP UPDATE WINDOW.Nifanyeje?
 
unafanya installation ya namna gani, fresh au upgrade? jaribu kubalisha cd
 
change cd ikikataa badilisha cd rom yako ikigoma tena replace hdd yko kati ya hivyo vitu vitatu
 
weka cd washa mashine boot kwenye cd i thnk sikumbuki vizuri badae itakupa option ya ku keep files zako au kuformat
 
just simple!kuna instruction unakosea wakat unafanya installation pale inapokuomba update this windows now, dont say yes just say not at this time, coz unaposema update now inaforce 2 search internet for upadating!hope wll work if happen again consult me i gonna help when it reaches to that stage
 
Angalia aina ya PC,OS unayoinstall na uwezo wa mashine yako. Kuna Computer hazijatengenezwa kupokea some OS',Piacheki SATA settings kwenye BIOS setup. Ukigundua PC yako ni ya SATA only, nyingi huwahazipendi XP so tafuta OS inayoitwa SATA XP Ukikosa nistue.
 
Wadau nawaintarupt kidogo na hii mada ya jamaa manake imenifanya niulize hili,hivi norton av ni real antivurus?je nikiiweka kwenye laptop itafanya kazi vyema km kaspesky?sore mtoa mada hapo juu
 
Wadau nawaintarupt kidogo na hii mada ya jamaa manake imenifanya niulize hili,hivi norton av ni real antivurus?je nikiiweka kwenye laptop itafanya kazi vyema km kaspesky?sore mtoa mada hapo juu
Yah! ni AV poa tu, ila haitokua kama kaspersky coz ni kampuni tofauti ila zote zipo poa sana ukilinganisha na avast amabayo ni open-source AV so hata mimi nikiwa na bifu na wewe, najidai kuimodifai then ikiiachia kwako umeuwawa.LOL--install Norton--ni AV ya long time.
 
ohoo safi sn kwa hayo maujanja ya Av manake nilikua na wasi2 kishenzi,gud job and nice tme all
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom