LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,123
- 9,167
naombeni msaada wenu wataalam. Nina nokia ASHA 200 inanizingua sana ninapofungua inter net hasa facebook huwa inaniletea ujumbe huu out of memory error java/lang/out of memory error. Pili nashindwa kabisaa kufungua na kuangalia video kwenye net,au nikiplay video you tube zinagoma. Naomba msaada wenu wakuu