Msaada wenu wa Kusoma Online

Mwazani

Member
May 27, 2010
75
11
Habari,
Wapendwa, ningependa nijiendeleze kielimu kwa kupata elimu kwa njia ya Online.
Nini advantages and disadvanteges za kusoma online?
Pia mwenye list ya vyuo ambavyo vinatoa huduma hiyo naomba aviweke hapa.
Mimi nipo Tanzania.

Thanks.
 
Hii ilkuwa hoja ya msingi lakini wabongo wameipotezea matokeo yake utawakuta wako wanachangia zaidi kwenye topic za mahusiano zaidi kurasa tatu, tutafika kweliiiiiiii??????????
 
Tembelea banda la UDSM maonyesho ya sabasaba specifically kwenye College of ICT (COICT) na uulize ilipo Centre for Virtual Learning, utapata kila kitu pale. Alternaively, visit hii website:

cvl.udsm.ac.tz
 
Back
Top Bottom