Msaada wenu natafuta daktari wa ngozi

kanywaino

Senior Member
Sep 10, 2010
171
19
Wanajamii naomba mnipemsaada ngozi yangu imetoka mapele nataka kuonana na mtaalamu wangozi atakayenipa sababu zatatizo langu ikiwezekana kama kuna vipimo anipime kabisailinitambue kinachonisibu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom