Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; Website za maswali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chrizo, Nov 4, 2011.

 1. Chrizo

  Chrizo Senior Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wanajf naomba msaada wenu wa website za kudownload maswali ya physics,chemistry na adv mathematics kwa advanced level
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,594
  Likes Received: 1,318
  Trophy Points: 280
  Umeshamaliza maswali uliyopewa na waalimu wako?
   
 3. Chrizo

  Chrizo Senior Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  ndio mzee nimeshamaliza na wametuambia mengine tujitafutie
   
 4. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Swali lolote..jaribu kugoogle cc ndo 2nakopata..
   
 5. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,683
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  We dogo acha kujiangaisha katika areas ambazo necta hawazitambui,cha kufanya chukua reviews za past papers za physics,chemistry na maths,fanya maswali yote kwa kulinganisha na syllabus yenu ya sasa,ukifanya hivyo ukifeli basi utapata grade c (if factors such as illness,stress and panic are kept constant) kila somo ambayo inakutosha kuombea course uipendayo na yenye future katika chuo chochote.
   
 6. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaaah! nakuunga mkono bro. Hammy. bwana mdogo unawajibu mkubwa wa ku-review past papers, jaribu kutumia time yako nyingu kepekua vitabu vingi pia ili kukuza ufanisi wa ukitakacho hii Zone muda wake utaufikia piga paper kwanza.
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine ni busara kusoma aina ya vitabu ambavyo vinaendana na syllabus ya nchi au shule unayosoma. Unaweza pata vitabu na maswali mengi ukajikuta aidha umesoma vitu ambavyo ni juu ya level uliyokuwepo au chini yake.

  Ila kama utasisiza kupata baadhi ya vitabu (e-books), basi mimi ninavyo baadhi ya vitabu vya physics na chemistry kwenye format ya .pdf.

  Physics Workbook For Dummies
  Physics FOR Dummies
  AP Chemistry For Dummies - P. Mikulecky, et al., (Wiley, 2009)
  AP Chemistry for Dummies
  Chemistry WorkBook for Dummies


  Kama utahitaji just send me your email through PM, nitakutumia Insha'Allah.
   
 8. A

  Ally kisslah New Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! Kweli brothers
   
 9. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,456
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  mkuu nimepiga pepa mwaka huu!! chonde chonde usimpotoshe dogo!!! mambo ya reviews ilikua miaka ya 90 na 2000!! amini usiamin hakunaga wala haitokuwepo swali linalorudia mara mbili,wengi waliokuwa wanakrem reviews hawakufanikiwa!!! SO ANGALIA SANA UNAPOSHAURI WATU HASA KWENYE HAYA MASWALA YA ELIMU!!!
   
 10. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 599
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  umesha maliza "PURE TWO"
   
 11. mnoel

  mnoel Senior Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 133
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  dogo, chukua sylabus yako then uipitie yote
  then tafuta vitabu vilivyoagizwa na serikali then soma hyo vitabu,,
  necta hawawez kutoa maswal kwenye website za maswal na cku hzi maswal huwa hayarudiwi" compitence" ndo inapimwa,, uciangaike sana, utafika chuo utadownlod madude mpaka utachoka!
   
 12. J

  JPM605 Senior Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 13. m

  mazegenuka Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu tumia website hii ask.com zen follow instruction.
   
Loading...