Msaada: Web development

deogan

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
399
46
sehemu gani hapa Dar es salaam ntapata watengenezaji wa website kwa bei nafuu??
 
Dar washikaji wapo wengi sana wanawezakukufanyia hiyo kazi yako.
Mimi pia natengeneza website, kama vp ni PM tuongee bei.
 
Mi nipo dar, sipendi sana kumtengenezea mtu web,ila napenda kumfundisha mtu kutengeneza web, so kama upo tayari niambie nakufundisha kwa wiki 2 na utakuwa designer mzuri wa web na blogs kiasi kwamba ukihitaji ku-update web yako siyo lazima unitafute mimi tena, wewe mwenyewe unakuwa designer na utawatengenezea wengine tena kwa bei nafuu. Uni-pm
 
sehemu gani hapa Dar es salaam ntapata watengenezaji wa website kwa bei nafuu??

Nitakupa bei rahisi sana ya ku design website na kama unahitaji kuhost kwangu desgning nitakufanyia FREE of charge. Hosting cost ni Tsh 295,000 kwa mwaka na unaweza igawa ukalipa miezi mitatu mitatu

Tembelea tovuti yetu www.primax.co.tz
Email: alphonce@alphonce.net
 
Back
Top Bottom