msaada waungwana!!

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,403
141
majuz tu tokeo limetoka..napenda sana maths na katika aplications zangu nimeweka bsci in mathematics ya pale UDOM..dah yan niko dilema sielew mana kila kukicha naskia watu wanaponda mbaya hiki chuo!! embu kama kuna mtu mwenye uelewa afunguke!!
 
Wanaponda nini bwana mdogo? Fafanua.
 
kwanza kabisa lecturers ni wa shida..miundo mbinu hovyo mfano maji..generally sifa ya chuo wanadai sio poa..sasa hapa nachanyikiwa mana kwa hapa bongo chuo chenye maths na bei poa ni UDOM kuna mwenge ila mi sikipendi..nieleweshe mkubwa!!!
 
Ukifuatlia mambo ya jf utakata tamaa bure..we nenda kasome maana wat i knw vyuo vyote vya bongo vina changamoto zake.ila sidhan kama udom ni kubaya kivile..
 
dah nashkuru sana,ila kwanin watu wanaponda kiasi hiki..tunajenga tunabomoa??
 
Afu kitu kingine kuna kozi kama actuarial,architecture,survey na computer science..vipi kwa hapa bongo kwetu ni zipi zipo poa!!!???
 
Back
Top Bottom