Msaada wataalamu

TASLIMU

Senior Member
May 6, 2011
144
21
Ninamaumivu ya mgongo na kiuno mda mrefu,kuna kipindi inapotea,ila inarudi yenyewe,ila mazoez nafanya sana(nacheza mpira)ila nina kilo 84,maumivu toka niko sekondar
 
Uzito peke yake sio jawabu la tatizo lako. Jaribu utupe urefu wako. Maumivu yako inawezekene sababu ya overstraining. Unahitaji mapumziko.
 
Back
Top Bottom