msaada wapi ntajifunza kutengeneza photocopy mashine na printer?

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Pamoja na kuwa na fani nyingine,natamani kujifunza namna ya kutengeneza photocopy machine ipatapo matatizo,pamoja na printer.naomba kujuzwa kama kunasehemu wanafundisha mantainance za hiv vitu
 
Kozi inatolewa veta,fuatilia upewe fomu kuna kozi nyingi ikiwemo hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom