Msaada; Wapi nitawapata watengenezaji wa mifuko ya plastic ya kupaki bidhaa mbalimbaili

Mgoda simtwange

Senior Member
Sep 7, 2012
168
64
Tafadhali naomba kwa yeyote anayejua watu, sehemu mahali ambako wanatengeneza mifuko ya plastic kwa ajili ya packaging (kupack) bidhaa kama mchele, maharage, nk anajulishe. Ninahitaji mifuko yenye uwezo wa kuhifadhi uzito kuanzia robo kilo, nusu kilo, kilo 1, kilo 2, kilo 5, na kilo 10
 
Fungua website ya Bakhresa ana kiwanda cha hiyo mifuko upate location, ila ujipange.
 
Ni pm nikupe maelekezo

Sent from my BlackBerry 8520 œusing JamiiForums
 
Tanzania bado bado kidogo. wengi wanaagiza Kenya. Kama uko poa ni PM nikuunganishe na jamaa h
 
Back
Top Bottom